Ingia / Jisajili

Katika Kuumega Mkate

Mtunzi: Erius Mugishagwe Emery
> Mfahamu Zaidi Erius Mugishagwe Emery
> Tazama Nyimbo nyingine za Erius Mugishagwe Emery

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Erius Mugishagwe Emery

Umepakuliwa mara 200 | Umetazamwa mara 816

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Wafuasi walimtambua Bwana (Yesu) katika kuumega, kuumega mkate. 1. Ikawa alipokuwa ameketi nao chakulani, alitwaa mkate akaubariki, akaumega, akawapa. 2. Yakafumbuliwa macho yao, wakamtambua na kisha akatoweka mbele yao.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa