Ingia / Jisajili

BWANA NI MFALME AMEJIVIKA TAJI (Zaburi 93)

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 1,403 | Umetazamwa mara 3,356

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Bwana ni Mfalme, Bwana ni Mfalme, Bwana ni Mfalme, amejivika taji. 1.Bwana Ametamalaki, amejivika adhama, Bwana amejivika, na kujikaza nguvu. 2.Naam ulimwengu umethibitika, ili usitikisike, kiti chako kimekuwa thabiti tokea zamani, wewe ndiwe uliye tangu milele. 3.Shuhuda zako ni amini sana, utakatifu ndio uifaao nyumba yako, Ee Bwana milele, Ee Bwana milele na milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa