Ingia / Jisajili

EE BWANA UILINDE NAFSI YANGU KATIKA AMANI YAKO

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Majilio | Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 1,251 | Umetazamwa mara 2,817

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Ee Bwana uilinde nafsi yangu, katika amani yako, uilinde nafsi yangu katika amani yako, ee Bwana uilinde nafsi yangu. 1. Bwana moyo wangu hauna kiburi, wala macho yangu hayainuki, wala sijishughulishi na mambo makuu, wala na mambo yashindayo nguvu zangu. 2. Hakika nimeituliza nafsi yangu, na pia kuinyamazisha, kama mtoto aliyeachishwa ziwa kifuani mwa mama yake, ndivyo roho yangu ilivyo kwangu. 3. Ee Israeli umtumainie Bwana , tangu leo na hata milele.

Maoni - Toa Maoni

Eliasi Thomas Oct 31, 2023
Mko vizuri

Toa Maoni yako hapa