Mtunzi: Angelo Damiano (Muna)
> Tazama Nyimbo nyingine za Angelo Damiano (Muna)
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: ANNORD MWAPINGA
Umepakuliwa mara 542 | Umetazamwa mara 2,130
Download Nota Download MidiBwana ni mfalme amejivika taji amejivika na kujikaza nguvux2
1. Atawala duniani na mbinguni toka misho hata pande za dunia
2. Na wafalme wote watamuabudia mataifa yote yatamuabudia