Mtunzi: Dagras Gwahila
> Mfahamu Zaidi Dagras Gwahila
> Tazama Nyimbo nyingine za Dagras Gwahila
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Dagras Gwahila
Umepakuliwa mara 379 | Umetazamwa mara 1,661
Download Nota Download MidiBwana ni mwenye rehema, Bwana ni mwenye huruma
1. Ee nafsi yangu umuhimidi bwana naam vyote vilivyo ndani yangu viliimidi jina lako takatifu ee nafsi yangu umuhimidi bwana wala usisahau fadhili zake zote
2. Akusamehe makosa yako yote akuponya magonjwa yako yote aukomboa uhai wako nakaburi akutia taji ya fadhili na rehema
3. Bwana amejaa huruma na neema haoni hasira ni mwingi wa fadhili hakututenda sawasawa na hatia yetu wala hakututupa kwa kadili ya maovu yetu
4. Kama mashariki ilivyombali na magharibi ndivyo alivyoweka dhambi zetu mbali nasi kama baba awahurumiavyo watoto wake ndivyo baba anavyowahurumia wamchao