Mtunzi: Dagras Gwahila
> Mfahamu Zaidi Dagras Gwahila
> Tazama Nyimbo nyingine za Dagras Gwahila
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Dagras Gwahila
Umepakuliwa mara 340 | Umetazamwa mara 1,249
Download Nota Download MidiKaribu ( yesu ) moyoni ( mwangu ) njoo moyoni shibisha roho yangu ( yesu )x2 ni chakula cha mbinguni kinywaji cha roho karibu yesu shibisha roho yangu x2
mashairi
1. Ni chakula cha mbingu kilichoshuka kwetu karibu yesu ukae ndani yangu.
2. Mkate wa uzima hostia takatifu karibu yesu ukae ndani yangu.
3. Ni chakula cha Uzima uzima wa milele karibu yesu ukae ndani yangu.