Ingia / Jisajili

Bwana Ni Nani Atakayekaa

Mtunzi: Yudathadei Chitopela
> Mfahamu Zaidi Yudathadei Chitopela
> Tazama Nyimbo nyingine za Yudathadei Chitopela

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,637 | Umetazamwa mara 6,269

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 16 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako, ni nani atakayekaa katika hema yako x 2

  1. a) Bwana ni nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako kitakatifu
    b) Ni mtu aendaye kwa ukamilifu, nakutenda haki kwa moyo wake.
     
  2. a) Ni yeye ambaye hakumtendea mwenziwe mabaya wala hakumsengenya jirani yake
    b) Machoni pake mtu asiyefaa kuzarauliwa, bali huwaheshimu wamchao Bwana
     
  3. a) Ni yeye ambaye hayabadili maneno yake, ingawa ameapa kwa hasara yake. 
    b) Ambaye hakutoa fedha yake kula riba, wala amwangamize asiye na hatia. 

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa