Ingia / Jisajili

Bwana Tegemeo Langu

Mtunzi: Abiud Denis Mdongo
> Tazama Nyimbo nyingine za Abiud Denis Mdongo

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,009 | Umetazamwa mara 4,638

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana alikuwa tegemeo langu x 2
Akanitoa akanipeleka panapo nafasi akaniponya kwa kuwa alipendezwa nami x 2

  1. Bwana alinitendea sawa sawa na haki yake maana nimeshika njia zake wala sikumwasi Mungu.
     
  2. Nimeyashika maagizo sikuziacha amri zake mbele zake sikuwa na hatia nikalinda wema wangu.
     
  3. Basi atukuzwe Baba pia atukuzwe mwana naye Roho Mtakatifu tangu sasa na hata milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa