Mtunzi: Abiud Denis Mdongo
> Tazama Nyimbo nyingine za Abiud Denis Mdongo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: willbert michael
Umepakuliwa mara 703 | Umetazamwa mara 2,342
Download Notaheri taifa, heri taifa, heri taifa ambalo bwana ni mungu wao, watu aliowachagua kuwa urithi wake
1. a. mpigieni bwana vigelegele, enyi wenye haki,msifuni bwana
b. kusifu kwa wapasa wanyofu wa moyo kusifu kwa wapasa wanyofu wa moyo
2. a. nafsi zetu zamngoja bwana, zamngoja bwana Mungu wetu
b. yeye ndiye msaada wetu, msaada wetu,ngao yetu.