Ingia / Jisajili

Bwana Twakushukuru

Mtunzi: Alphonce Andrew Otieno Obonyo
> Mfahamu Zaidi Alphonce Andrew Otieno Obonyo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alphonce Andrew Otieno Obonyo

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Alphonce Andrew Otieno Obonyo

Umepakuliwa mara 16 | Umetazamwa mara 16

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

BWANA TWAKUSHUKURU

Nita kushukuru mwenye'nzi, kwa wema wako muumba x2
(umetujalia mema bwana twakushukuru,
kwa kutujalia nema, bwana twakushukuru) x2

1. umetupa mwili wako chakula bora,umetunywesha damu kinywaji safi - bwana twakushukuru
2.kwa upendo wako bwana umetukinga, kwa maovu ya dunia umetukinga - bwana twakushukuru
3. umetupa familia hata watoto, umetupa afya bora kwa wema wako - bwana twakushukuru
4. kwa upendo wako baba ulituumba, ukatukomboa pia kwa wema wako - bwana twakushukuru


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa