Mtunzi: Alphonce Andrew Otieno Obonyo
> Mfahamu Zaidi Alphonce Andrew Otieno Obonyo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alphonce Andrew Otieno Obonyo
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Alphonce Andrew Otieno Obonyo
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 3
Download Nota Download MidiKWA SHANGWE - by alphonce OBONYO
Njooni nyote twende kwa shangwe, kwa vigelegele nderemo hata vinumbi tucheze, twende kwa shangwe twendeni nyumba ya bwana.
kwa furaha tele tuimbe ngoma na vifijo tucheze, hata vinumbi tucheze, twende kwa shangwe twendeni nyumba ya bwana,
nyumba ya bwana kwelini nyumba ya sala.
1.Nalifurahi walipo niambia twende nyumbani mwa bwana mungu wetu, nalifurahi walipo niambia twende nyumbani tuka mwabudu.
2.Ingieni malango ya bwana, malango ya bwana kwa shukrani kuu, nyua ni mwake kwa sifa za shangwe, mshukuruni sifu ni yeye.
3.nita waleta nao kwenye milima, na kuwafurahisha kwa nyumba yangu sadaka zao zakuteketezwa, dhabihu zao nitapokea.