Mtunzi: Alexander Ndibalema
> Mfahamu Zaidi Alexander Ndibalema
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,183 | Umetazamwa mara 3,299
Download Nota Download MidiWewe Bwana umekuwa makao yetu kizazi hata na kizazi, wewe Bwana umekuwa makao yetu kizazi hata na kizazi x 2
Mashairi:
1. Wamrudisha mtu kutoka mavumbini usemapo rudini mavumbini enyi wanadamu maana miaka elfu machoni pako ni kama siku ya jana ikishakupita na kama kesha la usiku.
2. Utushibishe Bwana kwa fadhili zako nasi tutashangilia na kufurahi na uzuri wake Bwana Mungu wetu uwe juu yetu na kazi ya mikono yetu uithibitishe.