Mtunzi: Hajulikani
> Tazama Nyimbo nyingine za Hajulikani
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 929 | Umetazamwa mara 4,028
Download Nota Download MidiBwana utulishe kwa mwili wako Ee Bwana Bwana utunyweshe kwa damu yako
1. Umetualika tuje kwa karamu ya mapendano
2. Natuunganike kwa neema yako pamoja nawe
3. Uwe njia yetu uwe mwanga wetu utongoze
4. Uwe shime yetu uwe heri yetu milele yote