Ingia / Jisajili

Bwana Yesu Amezaliwa

Mtunzi: Lisley J Kimbwi
> Mfahamu Zaidi Lisley J Kimbwi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lisley J Kimbwi

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Lisley Kimbwi

Umepakuliwa mara 44 | Umetazamwa mara 91

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BWANA YESU AMEZALIWA LEO Bwana Yesu amezaliwa leo katika hori la wanyama, Malaika wa shangilia, leo katika hori la wanyama tuimbe Groria groria groria groria groria in ex cel sis Deo 1)Ukombozi sasa umefika ulimwenguni kote, mkombozi wetu Yesu leo kazaliwa 2)Nyota sasa yaangaza ulimwenguni kote mamajusi waongozwa kumuona Yesu 3)Mbali kule nasikia nyimbo nzuri zinaimbwa Aleluya utukufu ni kwa Mungu juu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa