Ingia / Jisajili

Vipaji Vyetu Pokea

Mtunzi: Lisley J Kimbwi
> Mfahamu Zaidi Lisley J Kimbwi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lisley J Kimbwi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Lisley Kimbwi

Umepakuliwa mara 62 | Umetazamwa mara 122

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Vipaji (vipaji vyetu) twaleta (tunakuomba) e Baba vikupendeze MASHAIRI 1)Ee Baba ni mkate na divai tunavileta kwako 2)Mazao ya shamba na mifugo tunayaleta kwako 3)Nafedha kutoka mifukoni tunazileta kwako 4)Maisha na familia zetu tunazileta kwako

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa