Mtunzi: Deogratias R. Kidaha
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias R. Kidaha
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 2,343 | Umetazamwa mara 6,686
Download Nota Download MidiBwana Yesu anatualika kwenye karamu x2
Ni karamu ya amani na upatanisho karamu ya ujirani (mwema)
Ni karamu ya upendo na matumaini karamu yenye furaha (ndugu)
Bwana Yesu anatualike tuijongee
1. Meza yake Bwana iko tayari waumini twendeni tukale na kunywa tupate uzima wa milele
2. Aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu anao uzima, uzima milele aleluya
3. Hana ubaguzi wenye nacho na wasio nacho uwe masikini uwe tajiri wote sawa
4. Hima twende wote tukashiriki mezani kwa Bwana tupate uzima, uzima milele na milele