Ingia / Jisajili

Ee Bwana Unihukumu

Mtunzi: Deogratias R. Kidaha
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias R. Kidaha

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 3,032 | Umetazamwa mara 9,448

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee bwana unihukumu , ee bwana unitetee kwa taifa lisilo haki x 2

  1. Uniokoe na mtu wa hila asie haki.
     
  2. Kwa kuwa wewe ndiwe Mungu uliye nguvu yangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa