Ingia / Jisajili

Chakula Cha Roho

Mtunzi: GERVAS NYONI
> Mfahamu Zaidi GERVAS NYONI
> Tazama Nyimbo nyingine za GERVAS NYONI

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: GERVAS MATELIUS

Umepakuliwa mara 87 | Umetazamwa mara 154

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Twendeni wote mbele zake kumpokea Bwana Yesu kristo ni mwili na damu vinavyotolewa kwa ajili yetu.twendeni wote mbele zake kumpokea Bwana Yesu kristo tukampokee katika maumbo ya mkate na divai twende wote mbele zake bwana kupokea mwili damu yake chakula cha roho ndani mwetu kitupacho uzima milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa