Ingia / Jisajili

Unisamehe Makosa Yangu

Mtunzi: GERVAS NYONI
> Mfahamu Zaidi GERVAS NYONI
> Tazama Nyimbo nyingine za GERVAS NYONI

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: GERVAS MATELIUS

Umepakuliwa mara 61 | Umetazamwa mara 166

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mungu wangu unihurumie sawasawa na fadhili zako kiasi Cha wingi wa huruma zako×2 Uyafute makosa yangu unioshe uovu wangu,nimetenda yaliyo mabaya mbele yako unisamehe makosa yangu×2 Mashairi 1.Tazama Mimi nimekuwa mdhambi Toka kuzaliwa kwangu 2.Unisafishe,nisafishe kwa isopo nami nitakuwa safi 3.Ugeuze uso wako uzifute dhambi zangu 4.Unijalie kusikia furaha kusikia furaha na shangwe

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa