Ingia / Jisajili

Chakula Cha Uzima

Mtunzi: Seraphin T.m.kimario
> Tazama Nyimbo nyingine za Seraphin T.m.kimario

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Joseph Rumanyika

Umepakuliwa mara 475 | Umetazamwa mara 1,688

Download Nota
Maneno ya wimbo
  • KIITIKIO
    • Ni chakula cha uzima kimeandaliwa kwetu, na kinywaji cha uzima kimandaliwa kwetu, sisi
    • Haya twende tukampokee Yesu, Haya twende tukiwa na moyo safi

    • MAIMBILIZI
    • 1. Ni chakula cha uzima cha kutushibisha roho, ni kinywaji cha uzima kiburudisho cha roho
    •      Aiyoyo twende tukampokee Yesu

  • 2. Twendeni tukiwa safi ndani ya mioyo yetu, ni karamu takatifu mwili na damu ya Yesu
    •      Aiyoyo twende tukampokee Yesu

    • 3. Hii ndio Ekaristi mwili na damu ya Yesu, tuabudu tusujudu tuulapo mwili huu
    •      Aiyoyo twende tukampokee Yesuv

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa