Mtunzi: Venant Mabula
> Mfahamu Zaidi Venant Mabula
> Tazama Nyimbo nyingine za Venant Mabula
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Lawrence Nyansago
Umepakuliwa mara 2,091 | Umetazamwa mara 5,665
Download NotaChakula hiki Bwana unipe siku zote x2
Nimekutumaini Mungu daima u moyoni mwangu chakula hiki Bwana unipe siku zote x2
1. Wewe umeniumba na pia wanilinda kwako si pungukiwi wema wako hauna kipimo
2. Mimi ni mali yako hakika naamini wanijalia mengi sidiriki kuyasimulia
3. Nafikiri zaidi upendo wako kwangu mimi ninaanguka nawe wazidi kuniinua
4. Usiniache kamwe katika hofu zangu Bwana unifundishe njia zako zilizo thabiti
5. Kwa mwili watulisha kwa damu watunywesha sisi viumbe wako twashukuru Bwana watupenda