Ingia / Jisajili

Dondokeni Toka Juu

Mtunzi: ATEBE Mark T
> Mfahamu Zaidi ATEBE Mark T
> Tazama Nyimbo nyingine za ATEBE Mark T

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: ATEBE MARK Thomas

Umepakuliwa mara 99 | Umetazamwa mara 378

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
DONDOKENI TOKA JUU Dondokeni enyi mbingu toka juu (Juu) mawingu na yammwage mwenye haki (Haki) Nchi naifunuke (Kweli) kumtoa mwokozi.x2 1.Tazama Mungu ndiye wokovu wangu wokovu wangu Nitamtumaini nitamtumaini yeye wala sitaogopa. 2.Maana Bwana ni nguvu zangu na wimbo wimbo wangu, Paza sauti yako Mpigie Mungu kelele keleSle za shangwe.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa