Mtunzi: Thomas P. Bingi
> Mfahamu Zaidi Thomas P. Bingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas P. Bingi
Makundi Nyimbo: Juma Kuu
Umepakiwa na: Thomas Bingi
Umepakuliwa mara 395 | Umetazamwa mara 1,426
Download Nota Download MidiEe baba mikononi mwakoni mwako naiweka roho yangu, naiweka roho yangu.
Mashairi
1.Nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike mile-le/ kwa haki yako uniponye uniokoe.
2.Kwa sababu yao watesi wangu nimekuwa lau-mu/ kwao jirani zangu na kitisho kwa marafiki.
3.Nimesahauliwa kama mfu/ nimekuwa kama chombo kilichovunji-ka, hofu za nizunguka kote.
4.Lakini akutumaini Bwana/ nimesema ndiwe Mungu wa-ngu, uniponye na adui wanifuatao.