Mtunzi: Thomas P. Bingi
> Mfahamu Zaidi Thomas P. Bingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas P. Bingi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Thomas Bingi
Umepakuliwa mara 839 | Umetazamwa mara 2,554
Download Nota Download MidiBwana atubariki sikuzote,siku zote za maisha yetu ×2.
MASHAIRI.
1.Heri kila mtu amchaye Bwana, Aendaye katika njia yake,
Tabu ya mikono yako hakika utaila,utakuwa mwenye heri na baraka tele.
2.Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao,Vyumbani mwa nyumba yako,
Wanao kama miche ya mizeituni, wakiizunguka meza yako.
3.Hakika atabarikiwa hivyo yule amchaye Bwana,Bwana akubariki toka sayuni,
Uone uheri wa Yerusalemu, siku zote za maisha yako,
4.Naam ukawaone wana wa wanao,( Amani ikae na Israeli.)