Ingia / Jisajili

Ee Baba Mikononi Mwako

Mtunzi: Ambros Kavishe
> Mfahamu Zaidi Ambros Kavishe
> Tazama Nyimbo nyingine za Ambros Kavishe

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Zaburi

Umepakiwa na: Ambros Kavishe

Umepakuliwa mara 26 | Umetazamwa mara 45

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Ijumaa Kuu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio Ee Baba, Ee Baba mikononi mwako naiweka roho yangu x2 Mashairi 1. Nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike milele kwa haki yako uniponye uniokoe 2. Kwasababu yao watesi wangu nimekuwa laumu kwao jirani zangu na kitisho kwa marafiki 3. Nimesahauliwa kama mfu nimekuwa kama chombo kilichovunjika hofu zanizunguka kote 4. Lakini nakutumaini bwana nimesema ndiwe Mungu wangu uniponye na adui wanifuatao

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa