Ingia / Jisajili

Ingekuwa Heri Leo

Mtunzi: Ambros Kavishe
> Mfahamu Zaidi Ambros Kavishe
> Tazama Nyimbo nyingine za Ambros Kavishe

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Ambros Kavishe

Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 28

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
INGEKUWA HERI LEO Ingekuwa heri leo msikie sauti yake x2 Msifanye migumu mioyo, mioyo yenu msifanye migimu mioyo, mioyo yenu x2 Mashairi 1. Njooni tumuimbie Bwana tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu tuje mbele zake Bwana, Bwana kwa shukran tumfanyie shangwe Bwana, Bwana kwa zaburi 2. Njoni tuabudu tusujudu tukapige magoti mbele zake Bwana wetu aliyetuumba maana ndiye Mungu wetu tu watu wa malisho yake na kondoo wake 3. Msifanye migumu mioyo kama huko Meriba na siku ile jangwani na ndipo waliponijaribu Baba zenu wakanipima wakayaona matendo yangu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa