Ingia / Jisajili

Ee Bwana Fadhili Zako Ni Za Milele

Mtunzi: Robert Nazael .J.
> Mfahamu Zaidi Robert Nazael .J.
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert Nazael .J.

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Robert Nazael.J.

Umepakuliwa mara 8 | Umetazamwa mara 14

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(Kiitikio) Ee Bwana Fadhili zako ni za milele Usiziache Kazi za mikono Yako 1.nitakushukuru Kwa moyo wangu wote mbele ya Miungu nitakuimbia zaburi nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu (K). 2.Nitalishukuru jina lako na uaminifu wako Kwa maana umeikuza ahadi Yako Kuliko jina lako lote siku ile niliyokuita uliniitikia Ukanifariji nafsi Kwa kunitia nguvu.(K) 3.Ingawa Bwana Yuko juu amwona mnyenyekevu Naye amjua mwenye kujivuna tokea mbali Ee Bwana fadhili zako ni za milele Usiziache Kazi za mikono Yako (K).

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa