Mtunzi: Elias William Mtemi (Ewimu)
> Mfahamu Zaidi Elias William Mtemi (Ewimu)
> Tazama Nyimbo nyingine za Elias William Mtemi (Ewimu)
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Elias William Mtemi (Ewimu)
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Download NotaKiitikio
Ee Bwana Fadhili zako, ni za Mile-le, Usiziache kazi za mikono yako x2
Mashairi
1.Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, mbele ya miungu nitakuimbia Zaburi.
2.Nitakushukuru kwa jina lako, fadhili zako na uaminifu wako.