Ingia / Jisajili

Ee Bwana Fadhili Zako Zikae Nasi

Mtunzi: Agness M. Mganyasi
> Mfahamu Zaidi Agness M. Mganyasi
> Tazama Nyimbo nyingine za Agness M. Mganyasi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa

Umepakuliwa mara 1,366 | Umetazamwa mara 3,005

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                                              KIITIKIO

Ee Bwana fadhili zako, Ee Bwana fadhili zako zikae nasi X2

kama vile(kama vile) tulivyo tulivyo kungoja wewe, kungoja wewe X2

                                    MASHAIRI

  1. Mpigieni Bwana vigelegele enyi wenye haki kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.
  2. Mshukuruni Bwana kwa kinubi na kwa kinanda kwa kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa.
  3. Kwakuwa neno la Bwana lina adili na kazi yake na kazi yake huitenda kwa uaminifu.
  4. Yeye huwaponya nafsi zao na mauti na mauti na kuwahuisha wakati wa njaa.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa