Ingia / Jisajili

Kama Watoto Wachanga

Mtunzi: Agness M. Mganyasi
> Mfahamu Zaidi Agness M. Mganyasi
> Tazama Nyimbo nyingine za Agness M. Mganyasi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa

Umepakuliwa mara 3,200 | Umetazamwa mara 6,210

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa, yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa X2

MASHAIRI

  1. Ili kwa hayo mpate kuukulia, wokovu aleluya.
  2. Ikiwa mmeonja ya kuwa Bwana ni mwenye fadhili.
  3. Mmwendee yeye jiwe lilio hai, lililokataliwa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa