Ingia / Jisajili

Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe

Mtunzi: Eng. Marchius Tiiba
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng. Marchius Tiiba

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Eng. Epimachius Tibaijuka

Umepakuliwa mara 19 | Umetazamwa mara 25

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 4 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 4 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

EE BWANA MUNGU WETU UTUOKOE

Zab 106:47

By: Eng. Marchius Tiiba

0754764289

DSM2025.

Kiitikio:Ee Bwana Mungu wetu, utuokoe x2

Shairi1: Utukusanye kwa kututoa katika mataifa.

Shairi2: Tulishukuru jina lako takatifu, tuzifanyie shangwe sifa zako.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa