Mtunzi: Melchior Basil Syote
> Tazama Nyimbo nyingine za Melchior Basil Syote
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 3,929 | Umetazamwa mara 8,536
Download Nota Download MidiEE BWANA MUNGU WETU UTUOPOE - M. B. SYOTE.
KIITIKIO;
EE BWANA MUNGU WETU UTUOPOE, UTUKUSANYE KWA KUTUTOA KATIKA MATAIFA
//TULISHUKURU JINA LAKO TAKATIFU, TUZIFANYIE SHANGWE SIFA ZAKO X2
MASHAIRI; 1. AHIMIDIWE BWANA MUNGU WA ISRAEL TANGU MILELE HATA MILELE.
2. MSHUKURUNI BWANA KWA - KUWA NI MWEMA AMETUTENDEA MAMBO MAKUU.