Ingia / Jisajili

Litukuzeni Jina La Bwana

Mtunzi: Melchior Basil Syote
> Tazama Nyimbo nyingine za Melchior Basil Syote

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 1,598 | Umetazamwa mara 4,255

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

1.       Litukuzeni jina la Bwana Yesu mwokozi tangazeni utukufu wake jina lake takatifu

Tumshangilie Bwana Yesu daima milele Mwokozi na Mungu wetu Atukuzwe Bwana Yesu

Ni mkuu wa dunia yote mkombozi wetu ni mfalme milele yote atukuzwe Bwana Yesu

Litukuzeni jina la Bwana Bwana Yesu Kristo x4

Jina la Bwana Yesu jina la Bwana Yesu Litukuzeni Jina la Bwana Yesu Jina la Bwana Yesu Litukuzwe x2

2.       Mtawala Mbingu na nchi ni Bwana Yesu Mkombozi ameketi kuume kwa Baba Aleluya Bwana Yesu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa