Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 760 | Umetazamwa mara 2,443
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 32 Mwaka C
Ee BWANA NIAMKAPO
Ee Bwana niamkapo unishibishe kwa sura yako, unishibishe kwa sura yako, unishibishe kwa sura yako ...X2
1. Ee usikie haki usikilize kilio changu , utegee sikio lako kwa maombi yangu.
2. Yasiyotoka katika katka midomo ya hila yasiyotoka katika midomo ya hila.
3. Nyayo zangu zimeshikamana na njia zako hatua zangu hazita ondoshwa.
4. Ee Mungu nimekuita kwa maana utaitika utegee sikio lako usikie neno langu.
5. Usinifiche chini ya uvuli wa mbawa zako bali Mimi nikutazame uso wako katika haki