Ingia / Jisajili

Ee Bwana Sisi Wanao Twaja Na Vipaji Vyetu

Mtunzi: D. A. Vyarance
> Tazama Nyimbo nyingine za D. A. Vyarance

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 2,171 | Umetazamwa mara 5,516

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Ee Bwana sisi wanao, twaja na vipaji vyetu x 2
Tunakuomba ee Bwana, uvibariki ee Bwana uvitakase x 2

Mashairi:

  1. Mkate na divai tunaleta ee Bwana, twakuomba upokee.
     
  2. Mazao ya mashamba tunaleta ee Bwana, twakuomba upokee.
     
  3. Hata na nafsi zetu tunaleta ee Bwana, twakuomba upokee.
     
  4. Sala na nia zetu tunaleta ee Bwana, twakuomba upokee.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa