Ingia / Jisajili

Bwana Ndiye Mchungaji Wangu

Mtunzi: D. A. Vyarance
> Tazama Nyimbo nyingine za D. A. Vyarance

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 11,111 | Umetazamwa mara 20,246

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana ndiye mchungaji wangu 
(sitapungukiwa na kitu sitapungukiwa sitapungukiwa sitapungukiwa na kitu sitapungukiwa sitapungukiwa ) x 2
(Katika majani mabichi hunilaza kando ya maji katika maji ya utulivu huniongoza) x 2
(Aiyelele Iyelele Aiyelele Aiyelele Iyele Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu ) x 2

  1. Hunihuisha nafsi yangu na kuniongoza katika njia za kwa ajili ya jina lake Bwana ndiye.
     
  2. Naam nijapopita katika bonde la uvuli wa mauti sitaogopa mabaya sitaogopa Bwana ndiye.

Maoni - Toa Maoni

Maxmilian Kundi Feb 01, 2023
Pongezi kwenu..

Nicole Mwamakula Aug 06, 2020
Mwenyezi Mungu awabariki sana wote wanaojitoa kwa ajili yake na wengine. Such a beautiful and comforting song. I love it! ??

MARY JOSEPH Oct 30, 2017
NAUPENDA SANA HUU WIMBO UWA UNANIPA FARAJA SANA ASA NINAPOKUTANA NA MAJARIBU

Toa Maoni yako hapa