Mtunzi: Florian P. Ndwata
> Mfahamu Zaidi Florian P. Ndwata
> Tazama Nyimbo nyingine za Florian P. Ndwata
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,523 | Umetazamwa mara 3,428
Download Nota Download Midi
Ee Bwana uilinde nafsi yangu katika amani yako x 2.
Mashairi:
1 (a) Bwana moyo wangu hauna kiburi, wala macho yangu hayainuki
1 (b) Wala sijishughulishi na mambo makuu
1 (b) Wala mambo yashindayo nguvu zangu.
2 (a) Hakika nimeituliza nafsi yangu na kuinyamazisha
2 (b) Kama mtoto aliye achishwa kifuani mwa mamaye.
3 Ee Israeli umtumainie Bwana tangu leo na hata milele