Mtunzi: Florian P. Ndwata
> Mfahamu Zaidi Florian P. Ndwata
> Tazama Nyimbo nyingine za Florian P. Ndwata
Makundi Nyimbo: Watakatifu
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 438 | Umetazamwa mara 1,776
Download Nota Download MidiEe mtakatifu Pio wa Pietrelsina sisi wanao twaja kwako twaomba tuombee x.
1. Somo wetu tusaidie tuwe na Imani sisi wanao twaja kwako twaomba tuombee
2. Somo wetu tusaidie tuwe na Upendo sisin wanao twaja kwako twaomba tuombee
3. Somo wetu tusiaide tuwe na Umoja sisi wanao twaja kwako twaomba tuombee
4. Somo wetu tusaidie tufike Mbinguni twaomba sisi wanao twaja kwako tuombee.