Mtunzi: Gaspar Mrema
> Mfahamu Zaidi Gaspar Mrema
> Tazama Nyimbo nyingine za Gaspar Mrema
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: GASPER MREMA
Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 25
Download Nota Download MidiEE BWANA
UIPOKEE SADAKA
Ee Bwana
uipokee Sadaka yetu hii Bwana tunayoutolea,
Ya mkate na
divai mazao ya mashamba yetu twaomba ipokee
Mikononi
mwa Padre, Ee Bwana ikupendeze, kama ile sadaka ya Melkisedeki
Mashairi
1. Tunakutolea Mkate na Divai, twakuomba
vipokee vibariki
2. Tulivyo navyo vyote, vinatoka kwako
Bwana twaomba uvipokee
3. Hata nafsi zetu tunazileta kwako
twaomba upokee