Ingia / Jisajili

ENYI WATU WA SAYUNI

Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE

Umepakuliwa mara 760 | Umetazamwa mara 2,106

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                                                        ENYI WATU WA SAYUNI

Enyi watu wa Sayuni tazama Bwana anakuja kuwaokoa Mataifa  ..x2

1. Bwana atawasikizisha sauti yake ya utukufu katika furaha ya Mioyo yenu.

2. Bwana atawaonea Rehema nyingi kwa sauti ya kilio chako asikiapo ndipo atapojibu.



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa