Ingia / Jisajili

Ee Bwana Ulimwengu Wote

Mtunzi: Yohana J. Magangali
> Mfahamu Zaidi Yohana J. Magangali
> Tazama Nyimbo nyingine za Yohana J. Magangali

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Yohana Magangali

Umepakuliwa mara 292 | Umetazamwa mara 323

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana ulimwengu wote u katika uweza wako, wala hakuna awezaye kuyapinga mapenzi yako. Wewe umeviumba mbingu na nchi, na vitu vyote vya ajabu vilivyopo chini ya mbingu nawe ndiwe Bwana wa vyote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa