Ingia / Jisajili

Habari za Furaha

Mtunzi: Yohana J. Magangali
> Mfahamu Zaidi Yohana J. Magangali
> Tazama Nyimbo nyingine za Yohana J. Magangali

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Yohana Magangali

Umepakuliwa mara 410 | Umetazamwa mara 1,169

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio Katika mji wa Daudi, amezaliwa Mkombozi, ndiye Imanueli, Mungu pamoja nasi twimbe aleluya. Aleluya, aleluya, aleluya Bwana kazaliwa x 2 1. Mamajusi nazo nyota, wanaleta habari za furaha, Bwana Yesu, Mkombozi, kazaliwa 2. Wachungaji wamekwenda, kumlaki mkombozi wa dunia, wamebeba, na zawadi, kumtolea. 3. Mkombozi wa dunia, umelala kwenye hori la ng'ombe, Mtoto Yesu Masiha sinzia 4. Mkombozi kaa nasi, ishi nasi tunakukaribisha, ututoe utumwani mwa shetani 5. Atukuzwe Mungu Baba, mbinguni pia na duniani, na amani, kwa watu alowaridhia

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa