Mtunzi: James Chusi
> Tazama Nyimbo nyingine za James Chusi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: James Chusi
Umepakuliwa mara 1,218 | Umetazamwa mara 3,302
Download Nota//Ee Bwana Ulimwengu wote U katika Uwezo wako wala hakuna awezaye kukupenda//*2
1. Wewe umeumba vyote umeumba mbingu na nchi, na vitu vyote vya ajabu vilivyopo chini ya jua, ndiwe Bwana Bwana wa vyote.
2. Kwa kuwa Bwana ni mkuu mwenye kusifiwa sana, na wa kuhofiwa kuliko miungu maana miungu ya watu si kitu lakini Bwana ndiye aliyefifanya mbingu.