Mtunzi: Gelard M. Lugalya Biseko
> Mfahamu Zaidi Gelard M. Lugalya Biseko
> Tazama Nyimbo nyingine za Gelard M. Lugalya Biseko
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Paul Biseko
Umepakuliwa mara 608 | Umetazamwa mara 1,475
Download Nota Download MidiEe bwana ulitafakari agano usisahau milele uhai wa watu wako walioonewa
1.Ee bwana usimame ujitetee mwenyewe wala usiisahau sauti ya watesi wake
2.Ee Bwana uyakumbuke hayo , adui amelaumu na watu wapumbavu wanalidharau jina lako