Ingia / Jisajili

Ee Bwana Ulitafakari Agano

Mtunzi: Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Mfahamu Zaidi Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert A. Maneno (Aka Albert)

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Albert Maneno

Umepakuliwa mara 1,782 | Umetazamwa mara 5,467

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana Ulitafakari Agano, usisahau Milele Uhai wa Watu wako walioonewa. Ee Mungu usimame ujitetee mwenyewe usiisahau sauti ya watesi wako.


Maoni - Toa Maoni

Gervas Hubile Aug 09, 2017
mchakato huu wa nyimbo ni uinjirishaji uko vizuri

Toa Maoni yako hapa