Mtunzi: Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Mfahamu Zaidi Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert A. Maneno (Aka Albert)
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Albert Maneno
Umepakuliwa mara 1,079 | Umetazamwa mara 6,080
Download Nota Download MidiTwaja Mbele zako tunaleta vipaji (Baba), Baba twaja kwako tunaleta vipaji (Baba), Baba Mungu twaomba uvipokee na uvibariki viwe baraka kwetu.