Mtunzi: Elias Fidelis Kidaluso
> Tazama Nyimbo nyingine za Elias Fidelis Kidaluso
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo
Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti
Umepakuliwa mara 6,223 | Umetazamwa mara 12,054
Download Nota Download MidiKiitikio
Ee Bwana Ee Bwana Ee Bwana unifadhili (maana) nakulilia wewe mchana kutwax2
Kwamaana wewe Bwana u mwema, na mwingi wa fadhili kwa watu wote wakuitao x2.
Mashairi:
1) Ee Bwana Ee Bwana utege sikio lako unijibu, maana mimi ni Maskini na mhitaji
2) Uifurahishe nafsi na-fsi ya mtumishi wako, maana nafsi yangu, nafsi yangu nakuinulia wewe Bwana.
3) Ee Bwana Ee Bwana uyasikie maombi yangu, uisikilize sauti ya dua zangu.