Mtunzi: Elias Fidelis Kidaluso
> Tazama Nyimbo nyingine za Elias Fidelis Kidaluso
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Alfred Marikani
Umepakuliwa mara 2,750 | Umetazamwa mara 8,021
Download Nota Download MidiTUNAKUSHUKURU BWANA
Tunakushukuru Bwana kwa mema yako Bwana asante * 2
Umetupa nguvu tufanye kazi umetupa afya na kutulinda twashukuru Bwana asante * 2