Ingia / Jisajili

Ee Bwana Unihukumu

Mtunzi: Regani Massawe
> Mfahamu Zaidi Regani Massawe
> Tazama Nyimbo nyingine za Regani Massawe

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: REGANI MASSAWE

Umepakuliwa mara 625 | Umetazamwa mara 1,536

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana unihukumu unitetee, Ee Bwana unitetee kwa taifa lisilo haki. Unikoe na mtu yule, mtu yule wa hila asiye haki. Shairi 1. Kwa kuwa wewe ndiwe Mungu uliye nguvu zangu, unitetee kwa taifa lisilo haki. 2. Onesha kuwa sina hatia Ee Mungu wangu, uniokoe na mtu asiye haki.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa