Ingia / Jisajili

Natamani Sana Bwana

Mtunzi: Regani Massawe
> Mfahamu Zaidi Regani Massawe
> Tazama Nyimbo nyingine za Regani Massawe

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: REGANI MASSAWE

Umepakuliwa mara 160 | Umetazamwa mara 734

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Natamani sana Bwana, ukae ndani ya moyo, uje ndani ya moyo wangu. Lakini Bwana wangu sistahili uje kwangu,sistahili uingie kwangu. Lakini sema neno, sema neno moja Bwana, na roho yangu Bwana kweli itapona. 1. Ee Bwana sistahili uje moyoni mwangu lakini sema neno moja nami nitapona 2. Wewe ndiwe chakula cha mbinguni kishibishazo roho zetu sema neno moja nami nitapona. Nira yako ni laini na mzigo wako ni mwepesi sema neno moja nami nitapona

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa